Rick Ross - What A Shame (Explicit) ft. French Montana



Rick Ross ‘Rozay’ amekuja na hii mpya – What A Shame.

rozayHivi sasa watu wanapunguza kumtania Rick Ross kwenye internet kuhusu unene kutokana na kufanikiwa kupunguza mwili wake kidogo.
Story mpya kutoka kwa Rozay ni video mpya ya wimbo wa ‘What A Shame’ aliofanya na Meek Mill & French Montana.

Comments

Popular posts from this blog

SIMULIZI FUPI YA KUSISIMUA TAMAA IMENIPONZA KWELI KWELI.......!!

'BIOGRAPHY' WASIFU WA MAISHA YA MSANII WA BONGO FLAVA ALI KIBA

HUSNA MAULED LIVE KATIKA SITA KWA SITA