AJALI AJALI INAYOMUHUSU MBUNGE WA TABORA MJINI ADEN RAGE MKOANI DODOMA

MBUNGE wa Tabora mjini (CCM), Ismail Aden Rage (pichani) na wenzake wanne wamenusurika kifo baada ya kupata ajali na gari lao walilokuwa wakisafiria kutoka Tabaora kwenda Dodoma eneo la Chigongwe mkoani Dodoma leo.Ajali hiyo imetokea baada ya dereva wa gari walilokuwemo kujaribu kulikwepa lori lililokuwa mbele yao na kupinduka.Rage alikuwa anaelekea mkoani Dodoma kwa ajili ya vikao vya Bunge Maalum la Katiba vinavyoanza kesho.

Comments

Popular posts from this blog

SIMULIZI FUPI YA KUSISIMUA TAMAA IMENIPONZA KWELI KWELI.......!!

MASKINI YANGA SC: WAPIGWA CHINI KOMBE LA KAGAME..KISA?! DHARAU..SOMA ZAIDI HAPA!

'BIOGRAPHY' WASIFU WA MAISHA YA MSANII WA BONGO FLAVA ALI KIBA