MH! ETI NINA MIMBA, WATU BWANA SALMA JABU A.K.A NISHA AMEAMUA KUWAJIBU WALIOMZUSHIA MIMBA TUPATA HABARI KAMILI HAPA........!!!

Stori: Gladness Mallya
MWANADADA kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amepangua madai kuwa ni mjamzito na kudai ni maneno ya ya watu licha ya kwamba ukikiangalia kwa makini kitumbo chake unaweza kuhisi kuna kitu ndani.
Mwanadada kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’
Akizungumzia madai hayo na kwamba ndicho kinachomfanya asijichanganye na wenzake kama kawaida, Nisha alisema kutoonekana kwake ni maamuzi tu. “Eti nina mimba! Mh…nashangaa sana, sijui watu wanatoa wapi…
Stori: Gladness Mallya
MWANADADA kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amepangua madai kuwa ni mjamzito na kudai ni maneno ya ya watu licha ya kwamba ukikiangalia kwa makini kitumbo chake unaweza kuhisi kuna kitu ndani.
Mwanadada kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’
Akizungumzia madai hayo na kwamba ndicho kinachomfanya asijichanganye na wenzake kama kawaida, Nisha alisema kutoonekana kwake ni maamuzi tu. “Eti nina mimba! Mh…nashangaa sana, sijui watu wanatoa wapi hayo maneno, mimi sina mimba na nilikuwa sionekani kwa sababu nilisafiri, pia mwezi mtukufu huwa sitoki hovyo, nikiamua kuzaa watu wataniona tu,” alisema Nisha.

Comments

Popular posts from this blog

UTAPELI MZITO: WABONGO WALIZWA 'MIKOPO YA OBAMA NA JK KATIKA TAASISI YA Tanzania Loan Society' , RIDHIWANI AKANA KUHUSIKA, NMB YATOA ONYO

AIBU! MKE, MUME WAZICHAPA WAFUNGA MTAA