HIVI NDIVYO SHILOLE NA NUH MZIWANDA WALIVYOAMUA KUONYESHANA MAPENZI UPYA

Nuh Mziwanda akiwa na mpenzi wake Shilole.
 Mapenzi ya Nuh Mziwanda na Shilole yaliripotiwa kuvunjika hivi karibu yamerudi kwa nguvu zaidi siku ya…


Nuh Mziwanda akiwa na mpenzi wake Shilole.
 Mapenzi ya Nuh Mziwanda na Shilole yaliripotiwa kuvunjika hivi karibu yamerudi kwa nguvu zaidi siku ya jana wamesambaza  picha kupitia account zao Instagram wakiwa pamoja kama ishara ya mapenzi yao kuongezeka zaidi.
Nuh na Shilole wote waliweka picha instagram kuonyesha wamepatana na mapenzi yatadumu zaidi ya miezi kadha iliyotabiriwa.

Comments

Popular posts from this blog

SIMULIZI FUPI YA KUSISIMUA TAMAA IMENIPONZA KWELI KWELI.......!!

MASKINI YANGA SC: WAPIGWA CHINI KOMBE LA KAGAME..KISA?! DHARAU..SOMA ZAIDI HAPA!

'BIOGRAPHY' WASIFU WA MAISHA YA MSANII WA BONGO FLAVA ALI KIBA