MASOGANGE ATANGAZIWA NDOA SAUZI
MASOGANGE |
Stori: Musa Mateja
Modo Agnes Masogange ameonekana kumdatisha
mwanaume aliyefahamika kwa jina la Louis Donald wa nchini Afrika Kusini
baada ya jamaa huyo kuposti mtandaoni picha tofauti akiwa amepozi
kimahaba na Agnes na kueleza kuwa, huyo ndiye mke wake wa kufa na
kuzikana.
Jamaa huyo amekuwa akieneza habari
kuwa, Masogange ni ‘mtu’ wake kitendo kilicholifanya Ijumaa ambalo
awali lilikuwa na taarifa kuwa, Agnes amechumbiwa na msanii aitwaye
Evance Komu limtafute mrembo huyo ili afafanue na alipopatikana alisema:“Hiyo ishu ipotezee bwana, maswali gani hayo unaniuliza?” alihoji Masogange aliyeonekana kutotaka kuweka wazi ishu zake za kimapenzi.
Comments
Post a Comment