AISHA BUI AHAHA KUONDOA MAKOVU MWILINI

UREMBO! Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Aisha Bui anahaha huku na kule kusaka dawa ya kuondoa makovu yaliyotokea katika baadhi ya maeneo ya mwili wake.Akizungumza na mwandishi wetu, Aisha alisema makovu hayo aliyapata hivi karibuni alipokuwa akicheza sinema iliyomtaka agalegale chini porini.
Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Aisha Bui akipozi.
“Unajua filamu ni kitu ambacho kipo moyoni na nilitaka kuonyesha uhalisia wa ninachokifanya ndiyo maana sikuona shida kucheza huku…
Stori: Imelda Mtema
UREMBO! Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Aisha Bui anahaha huku na kule kusaka dawa ya kuondoa makovu yaliyotokea katika baadhi ya maeneo ya mwili wake.Akizungumza na mwandishi wetu, Aisha alisema makovu hayo aliyapata hivi karibuni alipokuwa akicheza sinema iliyomtaka agalegale chini porini.
Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Aisha Bui akipozi.
“Unajua filamu ni kitu ambacho kipo moyoni na nilitaka kuonyesha uhalisia wa ninachokifanya ndiyo maana sikuona shida kucheza huku nikigalagala kwenye nyasi, wakati mwingine siamini nilichokifanya ndani ya filamu hiyo ya Mshale wa Kifo inayotoka Jumatatu ijayo (leo),” alisema Aisha Bui.
Aisha Bui.

Comments

Popular posts from this blog

UTAPELI MZITO: WABONGO WALIZWA 'MIKOPO YA OBAMA NA JK KATIKA TAASISI YA Tanzania Loan Society' , RIDHIWANI AKANA KUHUSIKA, NMB YATOA ONYO

AIBU! MKE, MUME WAZICHAPA WAFUNGA MTAA