AJALI YA BASI BUNDA...!!

Baadhi ya abiria walionusurika katika ajali wakisaidiwa kutoka kwenye basi.
Raia wakishuhudia ajali iliyotokea maeneo ya Bitaraguru, nje kidogo ya Mji wa Bunda.
Raia wakiliinua basi hilo.
Na Waandishi wetu
Ni maeneo ya Bitaraguru nje kidogo ya Mji wa Bunda. Katika ajali hiyo hakuna aliyekufa isipokuwa kuna majeruhi.Basi lililopinduka limekuwa likifanya safari kati ya bunda na musoma.

Comments

Popular posts from this blog

SIMULIZI FUPI YA KUSISIMUA TAMAA IMENIPONZA KWELI KWELI.......!!

MASKINI YANGA SC: WAPIGWA CHINI KOMBE LA KAGAME..KISA?! DHARAU..SOMA ZAIDI HAPA!

HUSNA MAULED LIVE KATIKA SITA KWA SITA